Usajili wa kwanza wa Unai Emery ndani ya Arsenal - TodayNews

Breaking

Wednesday, 6 June 2018

Usajili wa kwanza wa Unai Emery ndani ya Arsenal



Kocha mpya wa Arsenal Unai Emery chini ya utawala wake katika club ya Arsenal, leo wametangaza kumsajili beki wa kulia wa Juventus Stephan Lichtsteiner kama mchezaji huru.


Stephan Lichtsteiner mwenye umri wa miaka 34 amesajiliwa na Arsenal lakini bado haijajulikana ni nani anafuata baada ya Stephan Lichtsteiner, Arsenal kwa sasa ina kocha mpya Unai Emery aliyejiunga nao akitokea PSG ya Ufaransa.

No comments:

Post a Comment