Aliyemuokoa Mtoto Ufaransa arudi kwao Mali - TodayNews

Tuesday, 19 June 2018

Aliyemuokoa Mtoto Ufaransa arudi kwao Mali


Mhamiaji raia wa Mali Mamoudou Gassama, ambaye alipata umaarufu mkubwa duniani mwezi uliopita kwa kitendo chake cha kupanda juu ya ghorofa mjini Paris, Ufaransa na kumukoa mtoto, amesema amefurahishwa sana kurudi kwao Mali kutembea.
“Nina furaha sana sana kwa sababu kila mtu alikuja uwanja wa ndege na kisha nikamuona baba yangu na watu wote wa familia yangu. Sikuwa nimemuona baba yangu kwa miaka tisa,” amesema Maoudou

No comments:

Post a Comment