RASMI UEFA imemfungia Buffon - TodayNews

Breaking

Wednesday, 6 June 2018

RASMI UEFA imemfungia Buffon


Chama cha soka Ulaya UEFA tarehe 5 june 2018  kimetangaza kufikia maamuzi ya kumfungia golikipa wa club ya Juventus ya Italia Gianluigi Buffon baada ya kujiridhisha kuwa alionesha utovu wa nidhamu.
UEFA wamefikia maamuzi ya kumfungia mechi tatu Buffon baada ya kujiridhisha kuwa, golikipa huyo alitenda kosa wakati wa mchezo wa UEFA Champions League kati ya Juventus dhidi ya Real Madrid kwa kumtolea refa Michale Oliver maneno yasiofaa.

No comments:

Post a Comment