Alichokiandika Rais Magufuli baada ya Ushindi wa Donald Trump - TodayNews

Breaking

Wednesday, 9 November 2016

Alichokiandika Rais Magufuli baada ya Ushindi wa Donald Trump

Leo November 9, 2016 Marekani imeweka historia nyingine baada Donald Trump wa chama cha Republican kutangazwa mshindi wa kiti cha Urais, na tayari ameanza kupokea pongezi kutoka kwa viongozi wa nchi mbalimbali ikiwemo Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli.
Rais Magufuli ametoa pongezi zake kwa Rais Donald Trump kupitia ukurasa wake Twitter

No comments:

Post a Comment