IKER CASILLAS AMEKATAA KUAGWA UWANJANI NA REAL MADRID - TodayNews

Breaking

Saturday, 11 July 2015

IKER CASILLAS AMEKATAA KUAGWA UWANJANI NA REAL MADRID

CASI

Iker Casillas inaonekana hajapenda jinsi Real Madrid inavyomuuza kwenda Porto ikiwa yeye ndoto yake kubwa ilikua ni kumaliza soka lake ndani ya Real Madrid.
Ilibidi Casillas aagwe kwenye mechi na mashabiki wa Real Madrid lakini ripoti zinasema kwamba mchezaji huyo hajapenda jinsi anavyomalizana club hiyo iliyomlea toka utotoni.
David De Gea ndio kipa pekee anayetegemwa kuchukua mikoba ya kipa huyo japokua bado De Gea yupo Manchester united

No comments:

Post a Comment