HATIMAYE MANCHESTER UNITED WAMEMPA OFA YA MIAKA 2 MCHEZAJI HUYU AJIUNGE NAO - TodayNews

Breaking

Saturday, 11 July 2015

HATIMAYE MANCHESTER UNITED WAMEMPA OFA YA MIAKA 2 MCHEZAJI HUYU AJIUNGE NAO

man

Manchester united imempa ofa mchezaji wa Bayern Munich na Captain wa Germany Bastian Schweinsteiger. Ofa hiyo imeripotiwa na gazeti maarufu la daily Bild kwa siku ya Ijumaa.
Undani wa ofa hiyo unasema kwamba Manchester united wamempa ofa ya miaka 2 mchezaji huyo mwenye miaka 30 baada ya kucheza kwa miaka 17. Inasemekana kwamba thamani ya mkataba wake kwa mwaka utakua ni 10 million euros ($11.1m).
Bastian Schweinsteiger is closing in on a move to Manchester United, according to reports in Germany

No comments:

Post a Comment