Barcelona imefanikiwa kuwaondoa Manchester City katika michuano ya klabu Bingwa Ulaya baada ya Usiku huu kufanikiwa kuwafunga bao 1-0, na kufikisha jumla ya idadi ya mabao 3-1.
Bao pekee la Barcelona limefungwa na Ivan Rakitic katika dakika ya 31.
Siku ya kufanyani miti yote huteleza, Man City katika dakika za mwisho walipata penati lakini Sergio Aguero akashindwa kuwazawadia City bao.
Kufatia matokeo hayo Man City wanakuwa wameondolewa katika michuano hiyo kwa jumla ya mabao 3-1.
VIKOSI
Barcelona: Ter Stegen, Dani Alves, Pique, Mathieu, Jordi Alba, Rakitic, Mascherano, Iniesta, Messi, Suarez, Neymar.
Subs: Bravo, Xavi, Pedro, Rafinha, Bartra, Sergi Roberto, Adriano.
Man City: Hart, Sagna, Kompany, Demichelis, Kolarov, Nasri, Toure, Fernandinho, Milner, Silva, Aguero.
Subs: Caballero, Zabaleta, Fernando, Dzeko, Bony, Jesus Navas, Lampard.
No comments:
Post a Comment