LIGI kuu England, EPL ambayo ni pendwa zaidi duniani inatarajia kuendelea kesho kwa mechi 7 kupigwa viwanja mbalimbali.
Manchester United itakuwa kibaruani ugenini kuchuana na Queens Park Rangers.
Nayo Chelsea ya Jose Mourinho itakuwa ugenini kuoneshana kazi na Swansea City.
Majogoo wa jiji, Liverpool watasafiri kuwafuata Aston Villa.
RATIBA NZIMA YA MECHI ZA KESHO HII HAPA.
England – Premier LeagueJanuary 17 | |||
---|---|---|---|
18:00 | Aston Villa | ? – ? | Liverpool |
18:00 | Burnley | ? – ? | Crystal Palace |
18:00 | Leicester City | ? – ? | Stoke City |
18:00 | Queens Park Rangers | ? – ? | Manchester United |
18:00 | Swansea City | ? – ? | Chelsea |
18:00 | Tottenham Hotspur | ? – ? | Sunderland |
20:30 | Newcastle United | ? – ? | Southampton |
No comments:
Post a Comment