Messi hadi sasa amecheza jumla ya game 637 katika mashindano yote na amefunga jumla ya magoli 552, ila ukimuuliza goli lake bora alilowahi kufunga anasema yeye goli lake bora halipimi kwa uzuri ila umuhimu wake.
Lionel Messi amelitaja goli lake la kichwa alilolifunga katika mchezo wa fainali ya UEFA Champions League kati ya FC Barcelona dhidi ya ManUnited mjini Roma Italia ndio goli lake bora katika magoli yake yote aliyowahi kuyafunga.
No comments:
Post a Comment