PICHA 18: Mapokezi ya Real Madrid baada ya kutua na taji la 13 la Champions League - TodayNews

Breaking

Monday, 28 May 2018

PICHA 18: Mapokezi ya Real Madrid baada ya kutua na taji la 13 la Champions League


Baada ya club ya Real Madrid kufanikiwa kupata ushindi wa magoli 3-1 dhidi ya Liverpool katika mchezo wa fainali ya UEFA Champions League msimu wa 2017/2918, walifanikiwa kutwaa taji lao la 13 la UEFA Champions League.



















No comments:

Post a Comment