Frank Lampard ametangazwa rasmi kuwa kocha wa Derby Country. - TodayNews

Breaking

Thursday, 31 May 2018

Frank Lampard ametangazwa rasmi kuwa kocha wa Derby Country.


Kiungo wa zamani wa Chelsea Frank Lampard ametambulishwa rasmi kuwa kocha wa Derby Country kwa mkataba wa miaka 3. Hii inakuja baada ya kocha wa timu hiyo ya ligi daraja la kwanza (Championship) Gary Rowett kuondoka na kujiunga na Stock City mnamo Mei 22, mwaka huu, baada ya timu yake kutolewa katika hatua ya mtoano (nusu fainali) na timu iliyopanda daraja Fulham. Baada ya kusaini nafasi hiyo Lampard alikaririwa akisema
“Siku zote nilikuwa nahitaji kufundisha klabu kubwa na yenye historia kama Derby Country”

No comments:

Post a Comment