LEWANDOWSKI AFUNGA BAO LA 100 BUNDESLIGA AKIISAIDIA MUNICH KUBEBA POINTI 3 - TodayNews

Breaking

Saturday, 26 September 2015

LEWANDOWSKI AFUNGA BAO LA 100 BUNDESLIGA AKIISAIDIA MUNICH KUBEBA POINTI 3


Mshambuliaji Robert Lewandowski ameifungia Bayern Munich mabao mawili na kuisaidia kushinda kwa mabao 3-0 dhidi ya Mainz katika mechi ya Bundesliga.Kwa mabao hayo mawili na yale matano wiki iliyopita dhidi ya Wolfsburg, mshambuliaji huyo kutoka Poland amefikisha mabao 100 katika BundsligaLicha ya kuwa ugenini, Munich imeshinda mabao hayo, moja likitupiwa na Muller.











No comments:

Post a Comment