Torres ameichapa real madrid gori mbili peke yake mbele ya mabeki hatari wa MADRID...Cha kushangaza na ni maajabu kwamba magori yote amefunga dakika za kwanza za kila kipindi. dk ya 1 na dk ya 46. Read more
No comments:
Post a Comment